LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyrics
Ai! Ai! Ai!
Tragic! Tragic! Tragic!
huh! The Quafff

Ayo Augusto!

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
kupeana mangigi na ngega
hii mchezo imekuwa ni danger
so wajuange mih ni akukudanger

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
kupeana mangigi na ngega
hii mchezo imekuwa ni danger
so wajuange mih ni akukudanger

Am ever the leader na sceptor
kubarizi na njethi wa ntheng'a
As your master tayarisha chamber
Kuna kikokorikoo kitachinjwa
nipee hivi juu mih ni morio anzenza
am ever in hunger stakataa mih nadema
kuna kidudu huku chini peremba
ni ya balokole ka za papa wemba
nampin kwa bed na steppler
its only a minute ndo nifike centre
amini usiamini ni mama gathenga
ni Mali ya mbogi ka safi ni ndeng'a

Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha tu
ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu

Ofcourse ni Tragic kama ni ndeng'a
wali-admit joh mih ndo huwabeba
am the most wanted huku mtaani reward iko over matenga
my block imejaa tu wamatha wa ploti
hawaezi niseti si mih huwachezesha
mandichu wamejipin tu na mabundee
wanataka kuangusha huyu kijana wa ntheng'a

Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha tu
ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu

Duru za kuaminika, ati njeri si urembo ni filter
alafu akona haga amebeba kwa picha tu
ye hukuwa mtamu akiwa kwa picha buu

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
kupeana mangigi na ngega
hii mchezo imekuwa ni danger
so wajuange mih ni akukudanger

Njithi na Njethi wa Ntheng'a
kupeana mangigi na ngega
hii mchezo imekuwa ni danger
so wajuange mih ni akukudanger

WRITERS

Quafff Music

PUBLISHERS

Lyrics © Dapstrem Entertainment

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other