LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Life Maseke

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Life Maseke Mr Machete

Si umesema unanipenda, acha mapepe
Kula yangu moja ngoma mpaka nitoke
Mia stini kwenye kona, ila usiogope
Nauza mitumba Kariakoo, sometimes Sadali
Usiku kucha nauza roho
Na sio kama sikupendi, mamilo
Kichwa ina vitu vingi, mwezio we haya

Maana maisha mtaani yananikata
Getoni Alijojo, jikoni kalala paka
Japo maisha magumu, ila uko na mimi hujanikacha hata
Ukiwa mbali popote, my nitakufuata
Haya

Eti niache pombe na sigara
Nawaza itakuwaje, niambie, niambie
Eti niache maisha ya kisela
Nawaza itakuwaje, niambie nielewe

Jamani Mr Machete kapatikana
Moyo kaumwagia, makopa yamejazana
Yaani kanijaza, kanichota, kanibambanya
Mpaka kumuomba nachoka, anichanganya

Jamani Mr Machete kapatikana
Moyo kaumwagia, makopa yamejazana
Yaani kanijaza, kanichota, kanibambanya
Mpaka kumuomba nachoka, anichanganya
Hayaa, hayaa

Chakaramu sina hali, bado napambana
Magetoni joto kali, juu ya dari panya
Mi najua pisi kali hutoweza, bwana
Alafu na chumba kimoja kaniachia mama
Karithi kwa wazazi wake yeye

Itakuwaje siku akisema niondoke?
Mama kwao hayupo peke yake yeye
Kula yake hadi mwanae ndio nitoke

Vipi utaweza kuzoea njaa?
Mi kwangu jambo dogo, mradi tu kushi nipate
Ugali wa donei, maisha kitaa akionachoo
Kidogo akapambane na hali yake

Wewe mwezangu wa kishua, Blue Band kwenye mkate
Michoresho uko road, nikapagamise nipate
Hayaa, hayaa

Eti niache pombe na sigara
Nawaza itakuwaje, niambie, niambie
Eti niache maisha ya kisela
Nawaza itakuwaje, niambie nielewe

Jamani Mr Machete kapatikana
Moyo kaumwagia, makopa yamejazana
Yaani kanijaza, kanichota, kanibambanya
Mpaka kumuomba nachoka, anichanganya

Jamani Mr Machete kapatikana
Moyo kaumwagia, makopa yamejazana
Yaani kanijaza, kanichota, kanibambanya
Mpaka kumuomba nachoka, anichanganya
Hayaa, hayaa

WRITERS

Mutawaly Hamdani Saidi, Adamu Mshamu

PUBLISHERS

Lyrics © DITTO MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other