Sitegemei ndumba namuamini muumba
Kama unikubal vunga bhana
Ukijifanya supa star chukua kona
Oya shobo staki skia ngoma
Masnichi kwenye ii trak itawachoma
Chamba umbea siunaongea kuhusu mimi
Sijapotea natokea kama jini
Naishi fear na wanangu ushwahilii
Nachochea likiwaka hutoamini
Ukijifanya mapozi mapozi nami
Usiniltee ustar mi mwenyewe msanii
Kichwa kimechemka ninyongee
Nani mpishi nikikosa mkaa napikia juani
Kama unikubali vunga bhna
Usijifanye unanijua sana nilipo toka
Upajui mbona usijifanye unanijua sana
Ukiona mchizi so kichaa kashapona
Ukijifanya supa star chukua kona
Oya shobo sitaki sikia ngoma
Masnichi kwenye ii trak itawachoma