Nikisifu me husifu na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Me husifu na mafinyo me overdo
Juu place amenitoa na vitu amedo
Amenipa nafuu kiatu kwa mguu
Akaondoa mabeste mabeste wa udo
Thank you Jesus for the miujizaz
Bila we ni me nani me najiuliza
Yaani siwezani naona tu giza
Kwako me nakwama sitoki kama lizard
Nina finyo na kadhalika kadhalika
Juu Maisha yangu alibadilisha badilisha
Ongeza finyo juu yesu ana kamilisha
Hakuna go slow mikosi tuna tamatisha
Basi Eeeh. Pull it up again
Hakuna kupima hapa hatu bargain
Hapa kameshika kana songa kama train
Na kwa yesu hatutoki tume maintain!
Nikisifu me husifu na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
God akijibu maombi ulimuomba ..
kadeal joh fulani kakiivana..
Cheki.. style gani hii,sijui Ka unarelate na hii..
Aiii feeling gani hii,mtuwangu unafeel kama miiii...
Hapa tunadance na kimbele mbele
Hapa hatumind leta kihere here
Tunapiga kelele ametuweka mbele
We ongeza finyo kwa tele tele
Na me simind ukinicheki mbaya
We leta move bora si za kwaya
Roho safi ndo ana require
Na sijidefend me ai maguire
Nikisifu me husifu na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Nikisifu me husifu na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo
Juu akibless ye hubless na mafinyo