(Oooh ooh ooh it's a Merry Christmas) *3
Celebrate tunaparty when we can
Everyday tuko job ni leo off
(Merry merry Christmas to all)*3
Merry merry Christmas to all
Everbody sing hallelujah jump to the tune kaa unataka kunijua kwa majina santa hope unajuwa
Wish ke unataka yes me nakupa
25th hapa me napeana kila kitu
Mali ya dunia inajipa kila siku
Me nawapatia kila kitu here
Make your wish dear kila mtu pia
Nyote karibia santa over here
Happy Happy new year everybody sing along
(Merry merry Christmas to all)*3
Merry merry Christmas to all
Christ anaeka bash,,,sijui kama utakam
Itakuwa kwa church,,,na mzinga za chrome
Mguu moja mbele ingine moja nyuma
Slide moja mbele then mbili nyuma
Mkono moja mbele ingine shika kichwa
Move to the left slide back right
Node your head then jump twice
(Merry merry Christmas to all)*3
Merry merry Christmas to all
(Merry merry Christmas to all)*3
Merry merry Christmas to all