Leo nika nadai kuchoma (Uko)
Nikona bottie, leta tumbler (Uko)
Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko)
Panda nduthi ufike teke (Uko)
Ofisi nilihepa hapo kedu 4
Nilikua nimezuba ningebaki what for
Kale kafeeling ka kuzitoka nikue sore
Niko bar nakunywa shots yelling (One more)
Hiyo text ya uko Hesabu ni rocket science
Ukona nani, wapi, mko wangapi, kwanza
Ni base inakaa aje, na nahitaji doh ngapi
Nakam na kabambe ama lugha ya mababi
Kuna manguna kwanza, ka hawako mi sikam
Maboy wakona kakitu na mboko haram
Kuna dishi ama nafika ka nimejipin
Bora nilewe fiti niweze kusinn
Na kama ni kapeng mshow akam my way
Leo nika nadai kuchoma (Uko)
Nikona bottie leta tumbler (Uko)
Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko)
Panda nduthi ufike teke (Uko)
Uber tuko mtu saba bumper hadi zipang
Kadere akizua ju vile boot inahang
Na Tukiziwasha pia yeh tunaburn
Afikishe raiya ka amenyanya
Ofcos ni kamini croptop na lipgloss
Curfew ikikushika rombosea afisaah
Nilitoka njei kuenda shop
Niko vasha kidogo nikidedi
Hiyo text ya uko Weh jua tu ni deadly
Si ati nina teta, ntarudia kila wikendi
Uzuri patipati ni za fendi
Na kama ni kapeng mshow akam my way
Leo nika nadai kuchoma (Uko)
Nikona bottie, leta tumbler (Uko)
Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko)
Panda nduthi ufike teke (Uko)