LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Share icon
Lyrics
BUGURUNI LYRICS

#INTRO
Ebati ayoo Trone beat tamu
Ayoo Trone
Mhhh eeeh aaah eeeh, eeeh aaah eeeh
Am Dj Jukk kumbe nani Dj Jukk Dj Jukk waleteee

#CHORUS
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana

#VERSE
Ay biza amagenge
Biza amagenge abadlali abafana bayifuna iphila
Ay biza amagenge
Biza amagenge abadlali abafana bayifuna iphila
Fentsa feditse kapela eh
Next time better not catch ya eh
Nna ketlha pitori government
Where I'm from I'm a leader
better follow me
If you a badie and you horny better follow me
Kudcwele ingane all over

#CHORUS
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana

#VERSE
Love bite
Toto lina mwendo wa mitego eheee
Zigo nyuma mudebwedo eheee
Chuchu lips shedo eheee
Aaaah ka mwali ki gego eheee
Usiombe umkute kavesha kapanda juu ya meza (Buguruuuni)
Anavyo kata bwana mambo anayaweza (Rozaaana)
Anavyocheza (Buguruuuni)
Anajimwaga kama pweza (Rozaaana)
Uno Analielekeza (Buguruuuni)
Analirudisha magereza (Rozaaana)
Nyash na nyash nyash na nyashioo (Nyashioo)
Miuno ya mwendo kasi na kasioo (Kasiooo)
Natunza ma laki laki ma salio (Saliooo)
Apeleke wapi Jamani Kinondoni? Aaah aaaahhhh

#CHORUS
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana
Buguruuu rozana buguruni rozana

#OUTRO
Zigo lina chungulia ngulia ndani ya dela
Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela
Linachungulia ngulia ndani ya dela
Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela
Zigo lina chungulia ngulia ndani ya dela
Usiogope eti watakuonaje ubaya ubwela
Linachungulia ngulia ndani ya dela
Waonyeshe unalizungushaje we ubaya ubwela
Ubaaya ubwela ubaayaa ubwela
Kaa vibaya ubwela kiroho mbaya ubwela
Shabash

WRITERS

Juma Kisimba Kiloge, Abdul Juma Idd, Salmin Kasimu Maengo

PUBLISHERS

Lyrics © Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other