LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Abilia

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Abilia kabla safali aijaanza nataka tupige dua
Abilia sorry kama ntaboa
mtu akikuomba namba usimnyime unampatia
Abilia tuwe makini mnajua kama nanauli dusko piga chini utaumia
Abilia chombo ishaanza safali
Mambo yakununa nuna kwenye
Chombo sio vizuli
Abilia naomba tukumbushane kua makini na mzigo
Unaweza ukausaau atakama usalama upo
Abilia kwenye chombo tupendane
Ata kama atujuani
Maana sisi binaadamu milimatundo aikutani
ajalishi siti mwenza mbaya aumzuli kama yeye amenuna mtekenye kisili sili
Abilia mungu atatujalia yani adi nitunafika akuna kitu kitasumbua

AAAABARIAA ABIRIAAA AABIRIA ABIRIA ABIRIA ABIRIA AABIRIA
AAAABARIAA ABIRIAAA AABIRIA ABIRIA ABIRIA ABIRIA AABIRIA

Abilia wote mmefunga mkanda
Maana safali niatua kwausalama nawakumbusha
Abilia nawapenda amjajua maana bila naulizenu vidali ntavisikia
Abilia sisi wasafilishaji mtusamee tukiwakosea kama kitu akiendi sawa msiuchune mnatuaambia
Abilia nakama ukilala kuamakini nasimu yako maana auwezi kujua wenda mwizi jilani yako
Sijamaanisha nimesema kwa kukujenga maana tumeonana leo kila mtu ana tabia yake
Abilia nazani mnanisikia kama mtu kasaau jina lakituo ulizia
Alafu abilia nimesaau kuwaambia kama mchumba ana nitaka luksa tu kuniambia
Abilia naomba nisiwachoshe kwaniabaya deleva tumuamini tusiogope

Abilia mziki nafungulia kama ukikunogea luksa tu kukamatia kamata kamata kamata kamata kiti kamata kamata kamata kamata chuma kamata kamata kamata kamata kamata kiti kamata kamata kamata kamata chini kamata

WRITERS

ADAM HAMISI

PUBLISHERS

Lyrics © Royalty Solutions Corp

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other