Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Pesa ya kulipa gesti unayo eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo
dereva wa uber hataki kuova teki
Eti kisa pesa haiongezeki
Yupo kitandani kajilegeza eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza
Eeh eti bebi leo simba wanacheza
Kutwa unalike picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio
Komenti ndefu picha za kajala
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba
Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh
Maana hadi waganga wanapiga promo
Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo
Amepanga chumba huko vingunguti
Yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh
Aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara
Kaja na vumbi uso umefubaa
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda
Vitu vingine haviji na ubongo eeh
Punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
Meno yote nje anachekelea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa
Kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
Mwenzetu unatuletea muganga
Unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita
Hehehe hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala
hehehe asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah
they call me kondeboy no 1 jeshi