Bwana wokozi wasaidia leo
Kwa maana wema umepotea nao
Kwa udanganyifu wanapenda kusema
Mioyo yao imejaa hila na dhihaka
Hakika lafiki wa wanyenyekevu
Maneno matamu ya rehema yako
Ndio ngome yangu katika shida
Mioyo yalainike kwa haki yako
Uovu na hila ziondolewe kabisa
Maneno yako kama fedha safi
Yaliyochemshwa mara nyingi kwa moto
Hakika lafiki wa wanyenyekevu
Maneno matamu ya rehema yako
Ndio ngome yangu katika shida
Ingawa waovu wazungukeni sana
Na haki ya kweli wakupuuzie
Nina imani hilo neno lako
Halitaacha kututetea siku zote
Hakika lafiki wa wanyenyekevu
Maneno matamu ya rehema yako
Ndio ngome yangu katika shida