LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Naona Poa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Hahaha
Uprise music baby
At what'spopping
Dushy made verses
Dupy on the beat

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

Hivi ndo na poa mazee
Naishi kiboss hee
Ukifake sana utaishia kuforce
Mijadala kuwa na dozi
Sneaker sio airforce
Geto paka wengi na sijaacha vaa soxi
Wanavyobrag naona poa
Unapolala si ndo tunaopoa
Mguu uko Kwenye gas na wala sijawahi kutoa
Najua abcd mpaka sehemu ambazo wanachomoa
I got a thing na wanyama ndo maana wananiita Noah
Niko fly so high shinda sana ndo utaniona
Hii in global inabamba zaidi ya corona
Kwenye gang tuko wengi utasema Misa yakiroma
Umepigwa kitu unaishia kusema homa
Hatuchezi nafas bro utatuona kwa fuasi ndo tunangoa
Dupy kwenye beat unadhani sa ntaopodoa
Na rap so medicinal huwezi ata kohoa
Alf ndo kwanza naona poa

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

Kwanza naona poa tu yo
Beef za pisi kwangu no
Ntupe kwenye msitu ntatoka kama Jabari Kong
Mziki unaniturn me on
Dada vaa tu sasa thong
Unasikia mikimbizo
Marapa wanona game of thrones
Back to nacheza role
Nipe pasi nkupe goal
Naskia dushy boy bila suti huwezi toka bro
On top sikai na fisi show ni murder case
Afu dipression inafanya niggas wawe pisi
Si kwetu poa tu ila usije kaa na sisi
Tunasali na tunaibilisi
Najua masela feki
Najua wanao fanya tu kwa dhiki
Najua watu wana body count najua mpaka vizigi

Hatuchezi nafasi bro utatuona kwa fuasi ndo tunangoa
Dupy kwenye beat unadhani sa ntapodoa
Na rap so medicinal huwezi ata kohoa
Alf ndo kwanza naona poa

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

Kwanza mimi naona poa
Naona poa
Naona poa
Naona poa
Na hivi ndo napoa
Ndo na poa
Ndo na poa
Ndo na poa

WRITERS

dushy verses

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Race and ethnicity