I've been roaming all around the world hakuna wakufanania
Nakuvisha Royal crown on top my Arusha Tanzania
Kitabu changu cha story , more bless no fear

Royal dreams kama kunta Ngumi pigana na kuta
Team up mko 4-5 myyamwezi huwezi nikuta
Maisha kama tunavusha Makini kama ma pusher
Cold breeze in Arusha ,Wadudu ziko na full track
Mama flani na na full tank, Pisi kali zenye fursa
Anytime niko overseas maskani panasuta
Kitabu changu cha story kulipotoka muulize mandia
Maisha flani ya ki codi usiku ni Giza mix bagia
Traveler niko na mori Chuga inaniita my Dr
Kiatu kimepata soli, Story nzima njoo na bia
Wild life na kipaza, vipi ngoma bila Zaza
Stulifake na ma hanessy leo tunazima data
Mkimbizi kaja na nia safari imepata panga
Wanamajina ya wanyama huku chuga ni rungu tunafunga kamba
Haba si inajaza baba ,Ni mama
Respect na fulana, wajanja tunafuatana
I've been roaming all around the world hakuna wakufanania
Nakuvisha Royal crown on top my Arusha Tanzania
Kitabu changu cha story mo bless no fear

Ni mtengwa ,Mzawa wa Bonde la Ufa
Toka that place ile hali ya hewa,usawa wa Njombe ni Pupwa
California ila street code tunafall in love na 2 pac
Thug life ila deep balling above the rim naitupa
Moves zimekaa poa sio kwa gharama aui bei nafuu
Leggit shi* good food,Shamba ukanda wa juu
Timeline old school Inabambamba kama brand new
Huku Gwara kule peace sign Ukizingua ni kama hawajui
Baby face monalisas kila day ni kama hawakui
Unyamwezi wa maisha kila siku ni kama hawakui
Azimio laku shhhh,Ujamaa mnara wa mwenge
You know what we talking about
Ungalimi Ngara na kijenge
G-code simple, kama ukijua usiseme