LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

JERO (feat. MJB)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kila ukiniona makini
Kamanda naquit toka lini
Naroll na masela kwa chini
Madem ukikuta mapini
Maneno maneno ya nini
Huwezi kuball kama mimi
Nataka kupaa
So nachanga jero na jero unankuta na milli

Bro pisha
Bro, pisha
Mjuba nkipoa natisha
Nna flow mia tisa
Mamwela wakifika naficha
Komando kipensi na picha
Silali nasaka maisha
Milima na bonde napita
Nobody real, media feki
Nnachotaka ni the money i make
Iwe kubwa to kubwa hadi kudadadeki
Nshabutua kopo so hakiombeki
Cheki mzigo ni moto wa gesi
Goin a hunnid siwazi ma breki
Freshi kama unataka si kesi
Ngumi ka cheka, lakini sicheki
huh yeah
Toka na jeshi, chafua tabata na mbezi, huh yeah
Nataka ku ball my nigga we zuka na njumu na jezi, huh yeah
Pull up na wvvy, na nyuma kajaza ma babies, huh yeah
You know that we on mashombe kibao af hatuko hata zenji, huh yeah

Kila ukiniona makini
Kamanda naquit toka lini
Naroll na masela kwa chini
Madem ukikuta mapini
Maneno maneno ya nini
Huwezi kuball kama mimi
Nataka kupaa
So nachanga jero na jero unankuta na milli

Uh drip inajaza kibaba
Mi ni mafia roho saba
Wana ungaunga kama ngada
Kama si pesa zima mada
Unadanganya, unatujaza
Huna madini, please nyamaza
Una vimba, ndinga ya baba
We ni boya wanakukaza
Leo king nacheki radar
Dem wabov nawamwaga
Nataka pizza nataka burger
Niwapeleke beach Kwa Maga
Hana mama hana baba
Ila streets ana kaza
Ukiingia line wanakukaba
Leta T-shirt hiyo
Shida nyingi, naelewa njaa, naelewa ushua, ila ndo uh, sijaamua
Kama ni nyuzi tutatatua
Demu wa almasi, sio Sila Chuwa
Kama ma snitch, nishawajua
Kabla ya ku hustle napiga Dua
Hata nikianguka, najinyanyua
Nilikua dogo Leo hii nimekuaa
Nigga

Kila ukiniona makini
Kamanda naquit toka lini
Kila ukiniona makini
Nataka kupaa so nachanga jero na jero unankuta na milli

WRITERS

Anold Ndaro, Mjuni Matovu, Paul Daffa

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid, DITTO MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Race and ethnicity

From This Artist