Mkufu wakichaga naisi nimegaramiya
Ila mwisho wa reli kasulu kwetu kigoma
Nikahaidi nikikosa Twakosa wote
Tukapeana buterfly kwa ajili ya wote
Basi twendeeee, basi twende
basi mganga wako kiboko, kiboko
Number ya social nitakupa
Nikahaidi nikikosa Twakosa wote
Tukapeane buterfly kwa ajili ya wote