Ndoto ni kumpenda mtu umoja,
Na kufikisha ndoto zenu kule
Nilimupa moyo akauchezeya
Natamani Niseme yalio moyoni
Natamani Niseme yanayo nisibu
Ila nashindwa niende kwanani
Iyi ni dunia sote tunapita
Nilimupa moyo akauchezeya
Natamani Niseme yalio moyoni
Natamani Niseme yanayo nisibu
Ila nashindwa niende kwanani