Kweli ni binti mzuri sana
Mwezangu ATM kila mtu Anaingia
Karibu nimuamini ila mwezenu
Hana sura nzuri ya kuvutia
Ila ndani kwake ni ibilisi
Kuliko kunichanganya na wale
Kapita njia Sita aziniwezi
Kapita njia saba aziniwezi
Uyo mama uyo mama munyongeni
Anapenda vitoto dogo kama nanilu
Anapenda vitoto dogo kama nanilu
Akienda nyumbani fujo nawake dungu
Wameshakwazana kila mtu kitaa
Wanaume wote anaona wakwake
Wanaume wote anaona wakwake
Uyo mama uyo mama ajieshimu
Uyo mama uyo mama ajieshimu
Hana sura nzuri ya kuvutia
Ila ndani kwake ni ibilisi
Kuliko kunichanganya na wale