LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nane (feat. Erick)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Minakuomba usisikize manano yawo
Tuwape kisogo wakavune tembele tembele tembele tembele
Urakaze mama uwe wangu kumutima
Urakaze mama uwe wangu kumutima

Kiuno chako kigogo
Manono kigogo
Na shepu kidogo iyo
Umenipa nakula
Vya ndani nashiba
Mifupa natupa iyo

Umenipa nakula
Vya ndani nashiba
Mifupa natupa iyo

Minakuomba usisikize
Maneno yawooo
Watachonga na honga
Nalala na bar kumbe ndipo
Napata ridhiki Iyo

Sina mengi ya kusema
Ila naitaji ushauri bro
Nayo yaona ni mengi
Naitaji ushauri bro
Nayo ya sikia ya shanifika shingoni
Nayo yaona ya shanipanda kichwani
Naitaiji ushauri

Walisema sikuwezi
Nikaweza tukawezana
Wakisema nitashindwa
Nikaweza tukawezana

Kiuno chako kigogo
Manono kigogo
Na shepu kidogo iyo
Umenipa nakula iyo
Vya ndani nashiba
Mifupa natupa iyo
Umenipa nakula iyo
Vya ndani nashiba
Mifupa natupa iyo
Minakuomba usisikize manano yawo
Watachonga na honga
Nalala na bar kumbe ndipo
Napata ridhiki Iyo

Minakuomba usisikize
Maneno yawooo
Tuwape kisogo wakavune tembele tembele tembele tembele
Urakaze mama uwe wangu kumutima
Urakaze mama uwe wangu kumutima

WRITERS

Dobakey Smith

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Sexual