Nimekupa moyo wangu wote uchukuwe
Ulifunzwa nanani mbona mahaba telle
Sina mpenzani uku napata yote
Sina mpenzani uku napata yote
Sina shubiri, macho biri kama kandiri
Eh kaniganda mi, mi sijiwezi kitandani
Ulifunzwa nanani mbona mahaba telle
Sina mpenzani uku napata yote
Oh summer summermauwa sama
Oh summer summer mauwa sama
Akisha duni yote karata yake