I used to think black women don't cheat Oo
Mara leo kesho lile nimechoka aah
Mara leo kesho lile nimechoka aah
Samhani ya dunia nimepata ju yako
Kwanini uniumize roho mwana wamwenzio
Kwanini uniumize roho mwana wamwenzio
Penzi likuwa mbichi utazani dunia ni yako
Kumbe anakucheka anakucheza anakuchezeya
Akisha maliza haja ata fadhila arudishi eeeeh
I used to think black women don't cheat Oo
I used to think black women dont cheat oo
Mara leo kesho lile nimechoka aah Mara leo kesho lile nimechoka aah
Dobakey ana moyo, moyo wangu siyo chuma
Yasiyo ya kwangu nipunguzie jamanii weeeh
Nateseka nalala na njaa aya yote kisa weeeee
Marafiki zako weee kisa cha penzi kuvunjika
I used to think black women don't cheat
I used to think black women don't cheat oo
Mara leo kesho lile nimechoka aah
Mara leo kesho lile nimechoka aah
Samani ya dunia nimeipata ju yako
Kwanini uniumize roho mwana wamwenzio
Kwanini uniumize roho mwana wamwenzio