LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

YEBO (feat Vestine & Dorcas)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mwokozi wangu ,Nakuitaji zaidi
Na Mwoyo wangu , Unaliya Uwepo wako
Nimejalibu on my own ,Lakini Siwezi
Nakutegemeya Usiniache kamwe
Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia
Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako
sauti yako ikaniita, Jengine vyote mimi nikakataa,
niviche ndani mabawa yako, dufike mwisho wa sasfari,
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly
Desire
Natamani kuongozwa na Mkono wako
Wenye nguvu The Fresh Air into my heart
Amen - Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena
E'Mungu nitumikishe ,Katika fahida za mbingu
Nisimamiye vizuli ,Ufalme wako
Ndani ya Ulimwengu
Najaze nguvu nipambane, Uzaifu wangu uondowe
Nidhalawu mishale ya machungu Hadui anaonipiga
Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi
Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana x 3
Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly
Desire
Natamani kuongozwa na Mkono wako
Wenye nguvu The Fresh Air into my heart
Amen - Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena

WRITERS

BLEY 250

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other