Kwenye harakati za kutafuta mapene
Ndipo nlikutana na mchumba nikawa bene
Nikaomba nafasi ya chumba kanipa seble
Saivi tupo lit na mapenzi kede kede
Ama be alright kila time na my babe
Saivi tupo lit na mapenzi kede kede
Ama be alright kila time na my babe
So hard tulopita mungu katubariki
Tuachane yalopita yasije kuleta dhiki
Tunaendana big time unaelewa muziki
Na bado this time tunacheza muziki
Umenipa zawadi ya kucheza na beat
Najiona kama bonge la baba you dig
That's why naweka nia girl
Yo mine na nafasi ni yako
That's why naweka nia girl
Yo mine na nafasi ni yako
I just want you to know ooh
Kwenye harakati za kutafuta mapene
Ndipo nlikutana na mchumba nikawa bene
Nikaomba nafasi ya chumba kanipa seble
Saivi tupo lit na mapenzi kede kede
Ama be alright kila time na my babe
Saivi tupo lit na mapenzi kede kede
Ama be alright kila time na my babe