LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Safari

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Nipo na safari nasafiri
Naanza cheki where am from
Mbali sana sipo pale nilipo
Bado nasafiri na safari
Sjui nitafika lini ndo maana nasali
Nnapoenda mbali
Nnapotoka pia mbali
So inabidi nipambane niende mbali
Nisiuze roho nikaja kujuta mwishoni
So far I need to go
Man I remember them days
Traping with ma bros
Hamza kanuni kwenye road
Kwenda studio
I was so far to understand
Now I find a way to go
Shout out ma nigga dexter rock
Kwa kunipa elimu
Ambayo inanifanya niende top
Sa vipi ni stop
Labda siku pumzi imefika mwishoni
Kichwa kinawaza sana kua boss
Nyumbani niondoe mkosi
Mtaani wanaona nime lost
Kila nnavofanya naona haitoshi
Familia yangu ndo imenipata
Thanks to my big bro
We always got each other
Thanks to ma mama
Man we always got each other
Hii kwa familia
Man we always got each other
Watu wana change
Hii safari ina mengi
Kila siku wana change no love
Cha msingi ku grind
Ila moyo usichange
We ubaki tu moyoni na love
Hii ni safari you know ooh
Hii ni safari you know
Hii ni safari you know ooh
Hii ni safari you know oh
Kuzisaka inabidi
So thats why nigga naongeza bidii
Napenda namba za benki zinapozidi
Kwenye hii safari usiombe uishi kwenye dhiki
Tusake doo
Tuepuke unyonge na kulala kwenye floor
Mkono ushike tonge tusiwe kama before
Ila usisahau pesa haiwezi nunua kifo
Vyema kuyaelewa haya maisha
Maana unachokitafuta kipo kwenye kiza
So unahitaji mwanga ili uone pale kilipo
Hustle kwa akili ili uone baraka zako
I only fear god only god am the nonstop
I was tryna get it when some niggz thought am a joke
Msafiri kafiri safari mwisho kifo
Na kadri nnavyozidi kwenda saa inaenda tiktok oh
Kichwa kinawaza sana kua boss
Nyumbani niondoe mkosi
Mtaani wanaona nime lost
Kila nnavofanya naona haitoshi
Familia yangu ndo imenipata
Thanks to my big bro
We always got each other
Thanks to ma mama
Man we always got each other
Hii kwa familia
Man we always got each other
Watu wana change
Hii safari ina mengi
Kila siku wana change no love
Cha msingi ku grind
Ila moyo usichange
We ubaki tu moyoni na love
Hii ni safari you know ooh
Hii ni safari you know
Hii ni safari you know ooh
Hii ni safari you know oh
Watu wana change
Hii safari ina mengi
Kila siku wana change no love
Cha msingi ku grind
Ila moyo usichange
We ubaki tu moyoni na love

WRITERS

Aita Matimbwa

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other