Baridi lina mpiga tena siku zote
Kumbu kumbu zimebaki tu za mimi naye
Maumivu anayopata sitokaa nielewe
Laiti angelijua asingeenda kule
Kumbu kumbu zangu zimebaki kwa head
Anakumbuka, shuka, kumekucha
Anavuta, shuka, kumekucha
Niko na amani, oh yeah, yeah
Whoo whooo whooo whooo whooo whooo whooo
Anasema anakumbuka nyimbo zangu
Na anasema anakumbuka uwepo wangu
Anakumbuka, shuka, kumekucha
Anavuta, shuka, kumekucha
Niko na amani, oh yeah, yeah
Whoo whooo whooo whooo whooo whooo whooo
Niko na amani, nawe uwe na amani